WALE WAPENZI WENZANGU WA SERIES NZURI YA KITANZANIA YA SIRI YA MTUNGI HAPA NIMEKUWEKEENI SEASON YA PILI (EPISODE YA 15)






Siri ya mtungi ni moja kati ya movie bora kabisa ambazo tunaweza kujivunia kutokana na kwamba imetengenezwa kwa umahiri kabisa kwa kuzingatia maadili na soko la filamu linavyo kwenda na wakati hapa nchini kwetu.
Siei ya mtungi imehusisha waigizaji mwahiri kabisa katika tasnia yetu ya filamu hapa nchini tanzania, wakiwemo kama CHECHE, MONALISA, BI MWENDA, na wengineo kibaao.
Istoshe kuna wasanii wengi mahiri kama mfalme wa taarab MZEE YUSUF MAREHEMU SHARO MILIONEA na wengine kibaao.

Karibu sana mzalendo mwenzangu tufuatilie series nzuri ya kitanzania.




    Blogger Comment
    Facebook Comment