Soudy Brown amemtafuta Diamond
ambae amesema alifanyiwa upasuaji huo kutokana na kichuma alichokuwa
nacho siku nyingi kwenye mguu huo lakini alikuwa anaogopa kukitoa,
alipoenda akafanyiwa upasuaji na kukitoa na sasa amepona, kuhusu Afya ya
mama yake amesema baada ya kurudi India kwenye matibabu amepona kabisa,
akizungumzia ishu ya ujauzito wa mpenzi wake Zari,
amesema anatarajia mtoto wake wa kwanza na kila akiangalia tumbo
linavyokuwa anafurahi sana na amekuwa akimtembelea mara kwa mara.
Ili kusikiliza story yote bonyeza play hapa chini…
Blogger Comment
Facebook Comment