FAHAMU KUHUSU DIAMOND PLATNUMZ ALIVYO FANYIWA UPASUAJI WA MGUU NA NINI CHANZO CHAKE! & UKWELI KUHUSU UJAUZITO ALIONAO ZARI THE BOSS LADY! HAPA KWENYE U-HEARD YA LEO MARCH 18

Baada ya taarifa kusambaa kwenye mitandao pamoja na picha zikumuonyesha msanii Diamond Plutnumz akiwa Hospitali akifanyiwa upasuaji wa mguu  huku taarifa zikienea kua alinusurika kukatwa mguu na kuibua hofu kwa mashabiki zake.

Soudy Brown amemtafuta Diamond ambae amesema alifanyiwa upasuaji huo kutokana na kichuma alichokuwa nacho siku nyingi kwenye mguu huo lakini alikuwa anaogopa kukitoa, alipoenda akafanyiwa upasuaji na kukitoa na sasa amepona, kuhusu Afya ya mama yake amesema baada ya kurudi India kwenye matibabu amepona kabisa, akizungumzia ishu ya ujauzito wa mpenzi wake Zari, amesema anatarajia mtoto wake wa kwanza na kila akiangalia tumbo linavyokuwa anafurahi sana na amekuwa akimtembelea mara kwa mara.
                     Ili kusikiliza story yote bonyeza play hapa chini…

    Blogger Comment
    Facebook Comment