Takriban watu wawili wameuawa wakati wa ghasia kati ya polisi na waandamanaji kwenye mji mkuu wa Burundi Bujumbura
Polisi walifyatua risasi huku waandamanaji wakirusha mawe na guruneti.
Ghasia Burundi
Polisi wawili na waandamanaji sita nao walijeruhiwa.
Waandamanaji hao wanalalamikia hatua ya rais Pierre Nkurunziza ya kuwania urais kwa muhula wa tatu
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Blogger Comment
Facebook Comment