DAVIDO KUFANYA COLABO NA ALLY KIBA!

Msanii kutoka Nigeria Davido alikutana na MILLARD AYO nchini South Africa kwenye tuzo za MAMA zilizo fanyika wikend iliyopita mjini Darban nchini South Africa.
Millard ayo alifanya mahojiano mafupi na msanii huyo mkali kutoka Nigeria na hit maker wa nyimbo ya fans me aliyomshirikisha msanii kutoka marekani Meek Mill!

Kwenye mahojiano hayo ndipo msanii huyo aliweka wazi kwamba anafanya colabo na msanii mwingine mkubwa kutoka Tanzania ambaye ni Ally Kiba!
Unaweza kutazama ilivyokuwa kwenye video hii hapa

    Blogger Comment
    Facebook Comment