DIAMOND AMJIBU JOKATE! MSIKILIZE HAPA

Hivi karibuni msanii Diamond platnumz ali make headlines yeye na mwenzake msanii wa Bongo movie Jokate Mwegelo baada ya msanii DIAMOND PLATNUMZ kupost video ya mwanadada Jokate mwegelo akiwa anacheza nyimbo ya mdogomdogo ya msanii huyo wa Bongo flavor.
Ikiwa mahusiano baina yao kwa sasa si mazuri ndipo ulipozuka mgogoro baina yao baada yaDiamond kupost Video hiyo na kuandika caption ya "Mbona bado mtanyooka tu!"

Ndipo mwanadada jokate alipo amua kumjibu kwa status ndefu kupitia account yake ya instagram pia!
Baasa ya malumbano hayo yote ndipo msanii Diamond Platnumz alipo hojiwa na  255 ya clouds fm na kufunguka maneno haya!


    Blogger Comment
    Facebook Comment