Recent

(+AUDIO) HARMONIZE; NIMEMTAMBULISHA WOLPER KWA WAZAZI!

Wiki iliyopita msanii Harmonize alikuwa nna show nyumbani kwao Mtwara ambayo ilimlazimu kwenda nnna mpenzi wake mpya Jaquelin Wolper ambaye ni Star wa Bingi movie
Baada ya show Harmonize alilazimika kwenda kuwatembelea wazazi sababu alionna haita kuwa vizuri kwenda mtwara halafu asifike nyumbani kwa sababu  nyumbani kwao na Harmonize ni nje kidogo ya mji.
Ilimlazimu kwenda na mpenzi wake huyo  baada ya mwanadada huyo kuhitaji kwenda kupajua nyumbani kwao na mpennzi wake huyo wa sasa (Harmonize).
Msikilize hapa akizungumza juu ya hilo

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment